mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  2. Leo Novemba 19, ni Siku ya Choo Duniani

    Habari ya wakati huu kwenu watu wa jamii ya JamiiForums. Katika kuadhimisha siku ya choo duniani kuna baadhi ya mambo ni muhimu kuyajua ikiwa ni jitihada zifanyikazo kuongeza uelewa kwa jamii inayotuzunguka. Siku ya Choo Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba na inalenga kuongeza...
  3. Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  4. Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  5. Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

    Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio. Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni...
  6. Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

    Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu...
  7. TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
  8. Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
  9. WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

    Hii ni hatari!
  10. Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

  11. TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

    Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena. Natoa...
  12. Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  13. Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

  14. Hapa kama Mungu hajaingilia kati tunampoteza mwenzetu

    Nimewaza sana, Yaani mwanamke anapiga ngumi kama bondia kwa mwanaume ambaye hajamgusa. Kama roho wa Mungu hayupo karibu nawe, nakwambia kuna watu wanaweza gawana majengo.
  15. Habari mtanzania mwenzetu anaomba support yetu

    Ni jambo la buheri kuwa wanajamvi wote mu wazima Kuna mtanzania mmoja mdogo kiumri kama namzidi miaka mitatu ila niseme ukweli na yeye kanizidi akili kulingana na alichokifanya. Kijana anaitwa Idrisa Amiry ni kijana mdogo amefungua online classified website ambayo ni KUMENOGA baada ya kunipa...
  16. M

    Video: Isije ikawa huyu ni member mwenzetu kafumaniwa huko Juba South Sudan

    Mzuka Wanajamvi! Hii video ni ya huko South Sudan. Na kuna member mwenzetu alisafiri huko. Cc mpwayungu village
  17. Naombeni kujuzwa hali ya member mwenzetu kama alipona au la!

    Ningependa kujuzwa kwa mwenye taarifa za member mwenzetu mama sabrina atujuze anaendeleaje maana kuna mtu nilimsikia akisema alikuwa akiumwa sana na jino na hali yake ilikuwa mbaya sana mpaka kulazwa ila ghafla naona kimya kimetanda! Kwa mwenye taarifa zake naombeni mtujuze anaendeleaje?
  18. Wanayanga tusimwache mwenzetu peke yake, mpaka atujumuishe kwani sisi hatuoni? Kesho tunalianzisha

    Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu. Karia wa kutwambia viongozi wetu wote wamejaa kinyesi kwenye sehemu zao za haja? Anamaanisha nini? Hili tusi ni kubwa sana. Maana yake wanatokwaje na kinyesi? Nmeshangaa...
  19. Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

    Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke...
  20. N

    TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

    Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu. Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…