mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bunge Joseph Kizito Mhagama atemwa ubunge jimbo la Madaba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
  3. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mohamed Abood: Tunachagua aliye tayari kwa utii kwa chama na mwenyekiti wetu, viongozi wenye sifa ya migogoro hatuwataki

    Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  6. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  9. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania ZANU PF walimdhibiti Mwenyekiti wao Mugabe dakika za jioniiii. Je CCM wataweza?

    Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine. Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi. CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa mwenyekiti BAVICHA Geita hajulikani alipo

    Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
  12. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Korea Kusini imefuta rasmi Mashtaka yaliyokua yanamkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Samsung, Jay Y. Lee

    Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  20. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
Back
Top Bottom