Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali.
Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu.
Wanachama hao wameeleza kutoridhishwa na uongozi uliopo kutokana na kutojua hali ya mapato na matumizi ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata na kumshikilia Bi. Getruda Japhet Lengesela, Mkazi wa Nsalala- Mbalizi na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Taarifa kwa Vyombo vya habari iliyotolewa leo Ijumaa Januari 23, 2026 na...
Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao.
Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake.
Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Shaban Omary Matwebe, ampangoza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Paul Makonda kwa kuamua kupambana kwa ajili ya kuhakikisha vijana waliojiajiri kwenye sekta ya Habari za mitandaoni wanapata mikopo...
Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa kwa nafasi za juu, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi kilichomalizika, Bw. Hamisi Abdallah Livembe, amechaguliwa tena kuendelea kushika nafasi ya Mwenyekiti.
Uchaguzi huo umefanyika tarehe 15...
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini.
Ali ameeleza hayo leo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa wanawapeleka Polisi. Lakini hadi asubuhi hii hawapo katika vituo vya polisi na hivyo hadi sasa hatujui...
Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi?
Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini?
Carlos The Jackal
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga.
"Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
John Pambalu ameandika:
Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi.
Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar
Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025
Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura
139,399
ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu.
Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu
Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.