mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  2. Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  3. Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  4. Pale unapokutana na Mwenyekiti kwa mara ya kwanza

    Furaha ya kweli kutoka moyoni!🤗🤗🤗Shangazi alievaa blue roho yake imesuuzika kwa furaha kwelikweli.
  5. J

    Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023. Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio...
  6. J

    Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

    Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu. Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na...
  7. J

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  8. Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  9. J

    CCM ingeruhusu demokrasia kwenye nafasi ya Mwenyekiti taifa ili marais wastaafu waweze kugombea pia!

    Ni swala la demokrasia tu. Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti. CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
  10. Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

  11. N

    Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  12. Ushauri kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Hussein Ali Mwinyi

    Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mimi kama kijana wako imenipitia tafakuri ambayo nimeona nikushauri kwayo. Inawezekana mada hii ikazuwa mjadala ambao ukawa na matokeo hasi kwako kama mtu au kwa taasisi ya Urais, hiyo siyo nia yangu mkuu na kwa kuwa wewe ni mtu...
  13. CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

    Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini...
  14. CCM mlindeni Mwenyekiti wenu na aibu ya Ndugai

    Ni wazi kuwa sakata la uvunjifu wa katiba Bungeni linamkera sana Mheshimiwa Rais mama Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM. Tatizo ni kuwa kama Rais hapendi aonekane kuwa anaingilia mihimili mingine ya nchi kwa kutoa kauli, maana kauli ya Rais ni kama sheria. Spika Ndugai analijua hilo na...
  15. J

    Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

    Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza. Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu. Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana. Bawacha fikirieni kumpa huyu...
  16. Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  17. Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  18. A

    Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, makao makuu ya chama, Dodoma Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo. Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu Maalumwa kumchagua Mwenyekiti wake wa taifa jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Makao Makuu...
  19. M

    Demokrasia: CCM itaacha lini utamaduni wa Rais kuwa Mwenyekiti wa Chama?

    Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na kulazimisha Rais aliyeko madarakani agombee nafasi hiyo kwa kupambana na 'kivuli'. Mbaya zaidi wakati...
  20. Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA? Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…