Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾♂️🤦🏾♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na...