Salaam wakuu,
kama kichwa kinavyojieleza,kiukweli mimi binafsi nilikuwa na matumaini makubwa na huduma ya mwendokasi kwamba atakuwa mkombozi wahuduma za usafirishaji jijini Dar. Miaka ya nyuma nilikuwa naishi Maeneo ya Tabata kwa hiyo sikuwa mtumiaji wa huduma hii,lakini niliamini itasaidia sana...