mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ziro Buyu

    JamiiForums Tanzania Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Kadi: Kwanini tusiwe na Kadi Moja ya Huduma za Usafiri inayoweza kutumika kwenye maeneo yote?

    Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi

    Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
  6. heartbeats

    JamiiForums Tanzania MWENDOKASI Kuanza natumizi ya kadi kwa abiria hivi karibuni,je itakuwa kama mwanzo

    Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha. Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado hujajaza nauli, je ufanisi wa mashine kuscan upoje ili kutosababisha msongamano wa watu kituoni...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hivi haya Mabasi 50+ ya Mwendokasi ambayo hayatumiki kwa zaidi ya Miezi 6, Serikali ina mpango gani?

    Wakati Serikali ikiwa katika mpango wa kununua mabasi mapya zaidi ya 100 kwa sababu zinazoelezwa kwamba ni jitihada za kuboresha mradi wa Mwendokasi, kuna jambo linashangaza, kuna mabasi inawezekana yanafika 50 au zaidi hayafanyi kazi, kwa zaidi ya miezi sita sasa, yapoyapo yamepaki tu. Mabasi...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

    Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia amesema hayo ni maelekezo ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DSM kwa sasa inahitaji treni na sio mwendokasi

    Jiji la Dar es salaam limeshapita level ya mabasi ya mwendokasi kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa hasa pembezoni mwa mji. Kwa sasa jiji la DSM linahitaji treni ili kuendana na kasi ya kuongezeka kwa idadi ya watu. Walau ruti nne za treni zinahitajika. 1. Gerezani- Tegeta-Bagamoyo 2...
  11. crome20

    JamiiForums Tanzania Mabasi Mwendokasi mnafeli wapi?

    DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano 1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi? 2. Kwa nini abiria shekilango, Manzese Kagera, hata Magomeni wasubiri daladala za Sinza kwenda Posta na Kkoo wakati hiyo ni route ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo, hasa watu wa DariSalama mna nn lakini, cheki mwendokasi na huyu mwamba

    Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Napendekeza nauli ya Mwendokasi iwe elfu moja kuepusha kauli zao za 'hatuna chenji'

    Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250 Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo? Mnashindwa kwenda bank na kupata change...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma

    Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma. Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri. Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna...
  16. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia anahujumiwa kwenye treni ya mwendokasi, hatua zichukuliwe mapema

    Kwa yanayoendelea kuhusu mradi wa SGR kuanza kwa kusuasua hatua za awali kabisa hii ni hujuma kwa Rais kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Figisu zimeanza mapema mno na hii yote ni kutaka ionekane mama amefail, kitu ambacho kinawaumiza watanzania wengi Rais chukua hatua mapema, bado...
  17. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  18. uran

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi. Nimeingia kituo cha City Council...
  19. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Tupeane Mbinu za Jinsi ya Kupanda na Kutumia Mabasi ya Mwendokasi

    Hii ni kwa watumiaji wa Mabasi ya Mwendokasi tuu jijini DSM. Kwa kuwa Serikali haina mpango wa kupunguza adha inayotukabili abiria wa mabasi haya. Na kwakua sisi abiria hatuna mpango wakuilazimisha serikali kufanya hivyo. Ni vyema sisi abiria tukapeana mbinu mbalimbali, zitakazotusaidia kama...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya Mwendokasi Awamu ya Nne - Dar unaendelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Back
Top Bottom