mwendo kasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    Huyu dada anayeendesha chuma cha Mwendokasi yupo vizuri

    Naelekea stendi ya Magufuli nipo Katika Chuma moja ya Mwendo Kasi na inatembea vizuri na Mwanamke ni dereva unyama Ni Mwingi .
  2. Idugunde

    Busara itumike matumizi ya barabara za mwendo kasi. Kuzuia polisi na vyombo vya dola kunaweza kuleta athari katika kudhibiti uhalifu

    Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu. Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa...
  3. Tomaa Mireni

    SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  4. F

    Ma cashier wa mwendo kasi wana ujanja wa kuuza ticket za mwanafunzi kwa watu wazima kisha kinachozidi 450 ni chao.

    Habari za jioni Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana. Nauli ya mwanafunzi ni 200 Nauli ya mtu mzima ni 650. Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu. Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja...
  5. ommytk

    USHAURI: Magari ya mwendokasi yatangaze Royal Tour

    Royal tour ebu tuendelee kuitangaza sio kwa ufupi namna ile hii twende nayo kila kona haya mabasi mwendokasi na ikiwezekana hata baadhi ya majengo ya ofisi yawepo matangazo ambayo yatakuwa endelevu
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  7. B

    Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  8. K

    Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  9. Bemendazole

    SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  10. R

    MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

    Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa! Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month . Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha...
  11. KingPower

    Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo, inatembea kama ndege

    Aiseee hii chuma kutoka kampuni ya Golden Deer (Newforce) ni hatari Jana imenivutia Sauli zote DRH na DTF (Scania 95- 310) na sio mara moja kuziburuza Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo inatembea kama ndege Na kuna pacha wake DMG 618 na DMG 613 Aisee kuingia Mbeya sasa kuna...
  12. MK254

    Treni za moja kwa moja "Express Service" Nairobi

    Zitakua zinatoka mitaani na kusafiri hadi mjini bila kusimama popote ili kuwahisha idadi kubwa ya wasafiri, jameni hii poa sana maana kuvusha maelfu ya wasafiri kwa muda mfupi hivi itachangia pakubwa kiuchumi, tunapoteza hela nyingi sana wakati tunaacha watu wanakwama kwenye mafoleni, kama...
  13. Bemendazole

    Sasa mwendokasi itakuwa ya raha kama vile kupanda Range

    Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve. Sasa wanufaika wote wa mradi huu kaeni mkao wa kula. Jambo hili nililolibuni likiwekwa kwenye utekelezaji, 90% ya changamoto za...
  14. R

    Aulizaye ataka kujua: Hivi mabasi ya mwendokasi ni mali ya nani per se?

    Waziri Mkuu, Majaliwa kamsimamisha Mkurugenzi wa fedha. tetesi ni ile ni mali ya watu binafsi sasa Majaliwa anaingiliaje hapo? Nakumbuka kulikuwa na utata wa nani anamiliki mara zabuni haikufuata taratibu etc. JE NI MALI YA NANI? KAMA UBIA UKOJE? NANI WENYE SHARES?
  15. Kinumbo

    Mradi wa Mwendokasi Mbagala umekuwa kero kwa wananchi

    Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada hii, huu mradi wa mwendo kasi kutoka Kariakoo mpaka Mbagala umekuwa kero sana. Si asubuhi, mchana ama usiku ni kero mtindo mmoja, kero yenyewe ni kujitokeza foleni. Yaani huu mradi umefanya iwepo kamba ya maana si mchezo. Hivi hiyo kampuni ama serikali haioni...
  16. Ghazwat

    Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ipo kwenye majadiliano ya kuhamisha kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), kilichopo Jangwani na kukipeleka kwenye kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT). Hatua hiyo inatokana na eneo hilo la Jangwani kukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara hali...
Back
Top Bottom