mwanzo

Mwanzo is the debut album by Sauti Sol, a Kenyan afro-pop band. It was released on August 4, 2009 by Penya Records.

View More On Wikipedia.org
  1. India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

    Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo. Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan...
  2. Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa. Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha...
  3. Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  4. D

    Mwanzo wa taarifa za kukamatwa padri Kitima unaviashilia vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki

    Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki. Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
  5. Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

    Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
  6. Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

    Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni. Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni. Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka...
  7. Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  8. Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

    Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
  9. R

    Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  10. B

    PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  11. Jaji Mkuu, kagueni mahakama za mwanzo, wananchi wanateseka sana

    Mheshimiwa Jaji Mkuu, Shikamoo Baba yangu. Habari za uzima. Naamini Mungu ametuwezesha kuamka salama ili tuweze kuwatumikia wananchi wetu. Baba yetu, Mzee wetu — leo nimeona nikujuze tu kuhusu yanayoendelea kwenye mahakama za mwanzo. Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mahakimu wa mahakama za mwanzo...
  12. Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  13. Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  14. Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  15. Hoja fikirishi: Nini kilitokea kabla ya Mwanzo 1:2

    Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza Mwanzo 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Katika mstari huu kuna vitu vya kujiuliza ambavyo Natumai wajuzi wa haya mambo mtanisaidia? 1. Kwanini nchi...
  16. Sababu moja wapo MANGI kuwakubali Wamisionari Kilimanjaro

    Walifika kwa kupitia bandari ya Mombasa.Kisha wapagazi waliwasaidia kubeba mizigo yao na safari kuendelea, wakati huo kulikuwa hakuna namna yeyote ya usafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. KUna kisa kimoja cha Mchingaji Gutman wa Ujerumani alipokuwa njiani kutokea MOmbasa walikutana na Nyumbu...
  17. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  18. M

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  19. Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi

    Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu. Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo, lakini hatujawahi kuambiwa hayo mafumbo Ni yapi. Sasa hili Ni SoMo ambalo litakuwa hewani kuanzia...
  20. Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…