mwanza

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu lawatia hatiani watu sita kwa 'UGAIDI'

    Washtakiwa sita jana walipatikana na hatia na mmoja kuachiwa huru katika kesi ya ugaidi inayohusishwa na tuhuma za kuwa sehemu ya mpango wa kuipindua Serikali na kuanzisha dola ya Kiislamu nchini. Jaji Godfrey Isaya, akiongoza jopo la majaji watatu katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maduka makubwa ya viungo Mwanza

    Wadau kwema nijuzeni Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali kupitia namba ya whattssapp 0624726872 Natanguliza shukurani zangu za dhati ahsanteni sana.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  7. JamiiForums Tanzania Ahadi ya Njia Nne Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) Imefikia Wapi?

    Mwaka jana, Serikali ya Tanzania ilitangaza mpango wa kujenga barabara ya Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) kwa kiwango cha njia nne (dual carriageway) ili kupunguza msongamano na ajali zinazoendelea katika lango kuu la kuingia Jiji la Mwanza Lakini leo, zaidi ya mwaka mmoja baadaye, wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanza University yafungiwa na TCU, wanafunzi wahamishiwa CUHAS

    Serikali imekifungia chuo cha Mwanza university wanafunzi wadai pesa za takribani million 73 ambapo uongozi ulidai zitahamishiwa Bugando.. Kama mnavojua Watanzania njaa sana hiki chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine hukoo Bugando watapokelewa na nani? It's...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni .... Natafuta kazi yoyote ile iwe ya kufua nguo, kumshikia mtu kuuza duka la dawa kwa siku ambazo...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Air Tanzania Mwanza online check in haitambuliki

    Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...
  11. JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya keki kwa Dar au Mwanza

    Kwa anayejua,naomba contacts za duka linalouza vifaa vya keki kwa Mwanza au Dar es salaam.
  12. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara ya Machinjioni- Kakebe Mwanza

    Barabara hii ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi kwa maana kuna viwanda vingi maeneo hayo, soko kubwa la vyakula na machinjio kubwa ya ng'ombe. Jambo la kushangaza kuna daladala zinazoenda maeneo mbali mbali ya jiji zinapita hapo ila barabara ni mbovu kupitiliza na haipitiki vyema kipindi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Kwaiyo Mwanza mmeshindwa kabisa kunipa IST ya milion 6

    Mwanza mna shida gani?? Huu mji hauna magari kabisa bora Dar
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mahakama Yaipiga Nyundo Serikali Mahashidi Wa Siri/kificho

    Credit jambo tv Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi. Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha City College jijini Mwanza kinanyanyasa Wanafunzi

    Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango. Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba tarehe 23, 2025. Wanawafukuza wanafunzi wote ambao hawajakamilisha malipo ya awamu ya pili. Sasa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

    Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
  19. JamiiForums Tanzania Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  20. JamiiForums Tanzania Ndege za UFO/UAP's zimethibitishwa zinaweza kutembea kwa spidi ya ajabu, km 64,000 kwa lisaa, DAR Hadi MWANZA kinatumia dakika 1 na sekunde Moja.

    Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao. Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…