Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.
Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...