Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,077
- 6,010
Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi ..
Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane.
Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi.
Igoma gen-Z wameziba Barabara ya msoma Road kwa kuwasha matairi ya gari pia wametumia nguzo za umeme na mawe.