mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: SIjamuelewa huyu Mwandishi wa Habari

    Tazama caption kwenye hiyo picha hapo chini kisha unisaidie kuelewa https://www.youtube.com/watch?v=wZ4YOttFfPw
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
  4. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih aliyeandamana na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuvamia Israel aangamizwa.!!!

    Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis. Alikuwa amelazwa hospitalini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Habari wanajamvi. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv. Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu. Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana. Binafsi niliwahi mfahamu...
  7. JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata nakala ya riwaya ya Matthew Mulumbi sehemu ya 2 ya mwandishi Patrick C.K

    Habari za Jioni wapendwa. Ninaomba nakala Ya kitabu cha MATTHEW MULUMBI Part 2 YA mwandishi Patrick C.K. Nimetafuta kila kona sijapata hivyo basi aliyebahatika kuwa nacho anisaidie na mimi hapa Natanguliza shukrani zangu za dhati 🙏
  8. JamiiForums Tanzania Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  10. JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  11. JamiiForums Tanzania Storia fupi J.K. ROWLING mwandishi nguli wa Harry Potter. Nimejifunza "its never too late" kubadirisha maisha yako

    Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu. Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa. Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza. Katika umri wa miaka 27, aliolewa. Mumewe alimnyanyasa. Akiwa na umri wa miaka 28, alitalikiana na...
  12. JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

    HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni.. Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

    Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
  15. JamiiForums Tanzania Mwandishi mkongwe Abdallah Majura, ahoji kuhusu redio kujadili michezo asubuhi

    Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga. “Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu” Nafikiri Majura atakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Vigezo Gani vilitumika kuajili mwandishi wa aina hii?

    Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
  17. JamiiForums Tanzania Mwandishi ashangazwa maua kutelekezwa baada ya mkutano kumalizika

  18. R

    JamiiForums Tanzania Nani Mwandishi jasiri wa kurusha tena kipindi Cha Mchakato Majimboni?

    Hellow Tanganyika!! Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni, Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi. Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha? Cc:Pascal...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni CV za Waandishi habari wote waliomuhoji LISSU tangu atangaze kugombea umakamu !!.

    Husasan wa Media za hapa Tanzania !!. Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU . Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?. Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

    Hii habari imenisikitisha sana Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali. Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine Hii ni kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…