Msaada wa Kazi za online, mwandishi wa kujitegemea

A love

Member
May 17, 2021
27
45
Habari zenu, ninatafuta ajira kwa kuandika online kwa mtu mwenye anafahamu anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji. Naandika kwa lugha ya kiswahili, ni machapisho ya aina yoyote ile.
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,093
2,000
Kuna kuandaa content, yaani unakaa una brainstorm based on topic husika kisha una buni content. Hii lazima uwe specific mkuu, huwezi kuwa competent kwenye siasa, Biashara, ujasiriamali, Maendeleo binafsi na maeneo mengine yote. Ni ngumu, lazima uchague maeneo yako ambayo una passion nayo.

Kuna kuandika in general yaani unapewa content kazi yako ni ku-type tu kwenye platforms au uandaaji wa documents kama inavyofanyika stationary. Hii unahitaji typing skills tu.

My point is, uhitaji upo wa waandishi ila ni vizuri zaidi ukiwa specific, upo kundi la kwanza au la pili na hii itasaidia hata wahitaji wa eneo lako kukufikiria.

Nina imani kuna kitu umekipata.

Have a blessed morning.
 

A love

Member
May 17, 2021
27
45
Kuna kuandaa content, yaani unakaa una brainstorm based on topic husika kisha una buni content. Hii lazima uwe specific mkuu, huwezi kuwa competent kwenye siasa, Biashara, ujasiriamali, Maendeleo binafsi na maeneo mengine yote. Ni ngumu, lazima uchague maeneo y

Nina imani kuna kitu umekipata.

Have a blessed morning.
Asante ,Mimi nimejikita katika kuandaa content ya topics zozote zile
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,093
2,000
Makala za Kiswahili soko lake ni gumu.
Ni kweli mkuu, pia inahitaji uwe competent sana ili kutoboa. Muhandishi ni vema kujua walau lugha mbili tofauti. Kiswahili na kiingereza, hii inakuongezea wigo na kurahisisha kazi yako. Sina maana ya kujua lugha moja tu ni vibaya, ila katika kupambana na soko inasaidia sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom