mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume andaa future nzuri kwa wanao, ila usitegemee lolote kwa wanao

    Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  3. JamiiForums Tanzania Jamii za Ulaya na Amerika zimefanikiwa kuua/kuondoa nguvu ya asili ya mwanaume

    Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo. Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke . Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50. Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume

    "Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini matumizi ya Condom hubaki kwa mwanaume ndiye mwenye uamuzi?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k.. Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  11. JamiiForums Tanzania Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  12. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye aibu...

    Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe. Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume atabakia kuwa mwanaume tu.

    Popote alipo, wakati wowote ule likimkuta mwanaume anasimama kuwa mwanaume tu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

    Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…