mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  2. Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
  3. K

    Mwanaume simama kiume, haijalishi mkeo kakuzidi kila kitu usiachie nafasi yako kama mume

    Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi kuzifuata Bora uachane nae aende kwa hao wanaume anaoona ni bora kuliko wewe. Lakini kumnyenyekea mwanamke...
  4. M

    Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni. Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k. Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo...
  5. B

    WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  6. Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton...
  7. T

    Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  8. Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  9. H

    Titus Amigu: Kazi ya mwanaume ni kutafuta

    KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa walipochafua uhusiano wao na Mungu aliadhibiwa katika mstari huo huo wa kazi akiambiwa atakula kwa jasho...
  10. X

    Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

    Habari ndugu wanajf? Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza. Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
  11. Mwanamke ahitaji Mwanaume Mstaarabu na Mpole, ukijichanganya tu Umeliwa!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Hii ndiyo asili yao,hivyo ndivyo walivyo na hata wao wanatambua kabisa hiyo ndiyo asili yao!. Wewe jifanye ni mstaarabu kwa Mwanamke uone atakavyo kuumiza kichwa!. Kikawaida mwanamke humchukia mwanaume yeyote ambaye ni mstaarabu na mpole,tena mwisho wa...
  12. Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker...
  13. Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
  14. S

    Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Naona nyuzi nyingi sana na pia hata huku mtaani, mwanamke anapomuacha mpenzi wake wa kiume, inamuumiza mwanaume kiasi kwamba wanaume hao wanabadilika kitabia, wanawatukana, na pia wengine wanajichukulia sheria mkononi kiasi cha kutaka kumdhuru mwanamke na ikiwezekana kumuua kabisa. Mwanamke...
  15. Ewe mwanamke ni mwanaume yupi kati ta hawa anafaa kuwa mumeo?

    Kumekuwa na makundi mbalimbali ya wanawake wakitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa baba wa watoto wake. Hawa ndio wanaume wanaotajwa na wanawake kila uchwao kuwa wanatamani sana kuwa wandani wao haki kifo. 1: Mrefu mweupe 2: Mwenye pesa 3: Mwenye hofu ya Mungu na upendo 4: Mrefu mweusi 5...
  16. Siri ya Jumapili, Waweza kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume kwa kuangalia vidole pekee, vidole vinaeleza mengi

    Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono...
  17. Ndugu Mwanaume

    - Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu - Dunia haina huruma juu yako. Kibano ni kikali sana. Kila siku hakikisha: - Wekeza kwako -Jitafute - Jipiganie - Fanya zaidi - Show up daily - Kuwa na consistency na flow - Usikubali...
  18. Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU. Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani...
  19. Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

    Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini? ikawaje? ulitemana nae vepe? ulitemana nae baada ya muda gan? Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
  20. Mwanaume hutakiwi kufuata Dini ya mwanamke, Mwanamke ndio afuate yako

    Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe. Mwanamke anapoolewa na mwanaume, automatic huondoka katika jamii yake na kwenda katika jamii ya mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…