mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Unapokuwa Mwanaume

    Maisha ya mwanamume si mepesi, na kadiri unavyokua ndivyo unavyogundua kuwa ulimwengu haujali unavyojisikia unajali unachoweza kuleta mezani. Upendo Wako Unategemea Unachotoa Kama mwanamume, hakuna upendo wa bure chini ya jua. Watoto, wanawake, na hata wanyama wa kufuga ndio wanaopendwa bila...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

    Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko. Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego. Baada ya siku kadhaa kupita, na...
  3. JamiiForums Tanzania Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

    Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa. Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
  4. O

    JamiiForums Kenya Mwanaume anafaa kurudi saa ngapi kwa nyumba.

    Jee mwanaume aliyekuwa kwa ndoa anafaa kurudi saa ngapi kwa nyumba Njoo tujadiliane
  5. JamiiForums Tanzania Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  6. JamiiForums Tanzania Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, anaenda vitani

    Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume... Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza... Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume sio kila weekend Mitoko na masela/ washkaji, muda mwingine tulia na mkeo

    Man to Man , sio kila wknd lazma utoke na Masela sometimes tuliza mbupu kwa mke wako mpange mipango ya maisha na ku have fun kuna watu hawana muda kabisa na familia zao au hata kukaa na watoto
  8. JamiiForums Tanzania Nani anamvumilia mwingine kwenye ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?

    Kumekuwa na hii tabia ya wanawake wakiulizwa swala la kudumu kwenye ndoa wanasema siri ni kuwa wavumilivu. Hili sijalisikia sana kwa jinsia ya kiume. inamaanisha huko kwenye ndoa wanawake ni wakamilifu ila wanaume ndiyo wakosefu sana. Na kazi ya wanawake ni kuwavumilia waume zao. Wakati huohuo...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

    Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake. Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi. Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Vitu hivi hakika ukivijua mwanaume utakuwa umeepuka mengi katika maisha

    MWANAUME Sheria no 1 Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae! Sheria no 2 Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa! Sheria no 3 Adui wa rafiki...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

    WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo. Dhana potofu kama; 1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume. Ukweli ni kuwa wanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Aisee usimchukulie poa mwanaume anaeipitia ukata mkali tena unakuta ana wategemezi. Kama haujawahi kuwa level hii utamchukulia poa. Ukata unauma sanaa

    Ebu acheni Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia. Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana. Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
  17. JamiiForums Tanzania Kujithamini, kujiamini na kujikubali Kwa mwanaume.

    Kubali au ukatae, Dunia ni ya mwanaume,kila kilichomo ulimwengu kipo kwenye control ya mwanaume. Kila anachofanya mwanamke ujue kimeanzishwa na mwanaume. Kwanza niwasalimie,lakini pili nichukue nafasi hii kuwapongeza wale ambao tunafuatilia world cup, Hadi hii Leo timu ziko semi final...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…