mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume mpumbavu ni yule anaye mfukuza binti yake kisa kapata ujauzito au kumlazimisha binti yake aolewe na jamaa aliyempa ujauzito

    Bwana ni mwema wakati wote. Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA. Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ajinyonga kituo cha polisi Kenya, Familia yatilia mashaka maelezo ya polisi ikidai uchunguzi ufanyike kubaini kilichojiri

    Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa chini ya miaka 40 usiyeweza kukimbia hata 5km jitathmini sana endapo huna ulemavu au changamoto za kiafya

    Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI. KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za...
  5. JamiiForums Tanzania Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

    Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man. N. B usifananishe uanaume na kua rough. Kua na ngozi laini si kosa. Kunukia sio kosa Kua na sura nzuri sio kosa.
  6. JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  8. JamiiForums Tanzania Jamani, kuna mambo duniani!

    Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada ya kukumbwa na maumivu ya tumbo yasiyoelezeka. Lakini si kawaida – kumbe alikuwa amejichomeka...
  9. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!

    Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye! Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na sasa mmeingia kwenye mahusiano, ukakubali kulala naye. Kabla ya kulala naye, alikua mtu wa kukupigia...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

    Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana. Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi...
  11. JamiiForums Tanzania Kisa cha Faith Jerop kuzaa na Mwanaume Mrusi na kupoteza kichanga chake

    Faith Jerop alipokutana na mwanamume Mrusi nchini Kenya, alihisi kama ameokota dodo kwenye mnazi. Upendo wao ulichanua vizuri, mdogo mdogo mpaka mahaba yakawa mazito. Na binti yao alipozaliwa, ilikuwa kana kwamba furaha yao imepata nafasi ya kuendelea kuwa imara. Bi mdada huyu akaona isiwe...
  12. JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke huwa anajuta sana baada kuachana na mwanaume mwema sana kwake

    Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Kanuni 31 takatifu (bro codes)

    1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono. 2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza. 3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja – heshimu mipaka ya mwili. 4. Mwanaume wa kweli huogelea kwa maji ya baridi; anaulinda uzalendo wake...
  15. JamiiForums Tanzania Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana

    Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu. Toa taarifa ukiwa kwako au Tayari umepata huduma ya kwanza sio kupiga piga simu hovyo Mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume punguza stress na ongeza siku za kuishi Kwa kanuni hii ya 40%, 30%, 25%, 5% na 0%

    Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia. leo hii nataka nikupe hii kanuni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana. lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania MADHARA YA UTANDAWAZI NA MUINGILIANO WA KIUTAMADUNI: Ni ngumu sana mwanaume wa sasa kuchomoka kwenye mitego ya Ngono.

    Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono. Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
  20. JamiiForums Tanzania Nahisi nimebambikiziwa mimba

    Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani. Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, ..... Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…