mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  2. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Halii

    MWANAUME HALII Wanaume wamefundishwa kuwa miamba, wasilie, wasilalamike, wasionyeshe uchungu. Lakini nyuma ya uso mgumu na sauti ya kujiamini, kuna wanaume wanaovunjika taratibu ndani kwa ndani. Kuna mwanaume anayeamka kila siku kwenda kazini, akiwa hajalala usiku mzima kwa mawazo. Kuna...
  3. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

    Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono. Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ilikuwaje hadi ukapigwa mmeo/bwana wako?Wewe mwanaume kwanini ulimpiga mama watoto/mchepuko wako?

    Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo. Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo unavyoweza kuwa Mwanaume wa hadhi/daraja la juu"high - Value man"

    HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUWA MWANAUME WA HADHI/DARAJA LA JUU"HIGH - VALUE MAN" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya Uzi huu Mambo ambayo yatakufanya uwe A Broke Man (Mwanaume aliyefeli) Ambao niliandika mambo yatakayokufanya uwe mwanaume aliyefeli sasa nimekuandikia Uzi mwingine wa...
  6. Craig

    JamiiForums Tanzania MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  7. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

    Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani . 1. Mwelewa 2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali . 3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu. 4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio...
  8. fact only

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

    Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

    Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025. Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika...
  10. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAKI ZA MWANAUME KTK NDOA N ZIPI??

    ZItafuteee mapema Usipozijuaa wenzioo watakusaidiaaaa nduguuu Zitafutee uzifanyie KAZI Na nyie wanawake tafuteni kujua haki zenu ktk ndoaaa
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

    Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ujue umeme uliopo katika sehemu za siri za mwanamke na kazi zake

    Habari ndugu zangu wapendwa! Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu! Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme! Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri. Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme? Ni kweli...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

    Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa. Kwa ambao wanapitia...
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

    Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30. Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana. Ndoa ni mkataba ule. Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu. Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya. Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue...
  17. Shaas

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huyu unaishije nae?

    Mfano mwanaume ni muongeaji sana pia mjuaji kila kitu ana kijua yeye… Pia hakutafuti mpaka akiwa na shida zake yaani ana tumia udhaifu wako nisaidieni kujua
  18. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutaka mwanaume a'provide kwao ni lazima ila kumheshimu na kumtii mwanaume ni option

    Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option...
  19. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
Back
Top Bottom