Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au...
Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo.
Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji.
Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?!
Atakachofanya ni kumpigia...
Je unataka kufanikiwa haraka? Mambo ni mawili tu, nayo ni haya hapa.
1. Usitumie mali/ kitu cha mtu bila kuomba na upewe.
2. Usiombe kitu wala mali ya mtu yeyoye. Tafuta chako, kumbuka, mtegemea cha nduguye hufa masikini
Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote
Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
Hello jamiiforum,
Leo ni siku nzuri ya jumatatu ikiwa ni siku ya mwisho wa mwezi wa tatu , ama kweli sikukuu imekuja vizuri sidhani kama watu wamekopa kivile ili kufanikisha sikukuu hii muhimu Kwa wenzetu waislamu.
Kwenye Mada,sikuzote nasemezana na kuwaongelea wanaume,nyuzi zangu zinahusu...
Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
Pornography
Uvutaji sigara
Punyeto/kujichua
Unywaji pombe kupita kiasi
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Today's Sunday.
Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath
Leo ni siku ya kuabudu .
Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa.
ANGALIZO...
Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.
Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta...
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
Habari Wakuu!
Bila kupoteza wakati.
1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono.
Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu.
2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili...
Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake .
Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria.
yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao bado wanataka kuhudumiwa kwa hela za mwanaume kwenye kila kitu pekeyake hata kama mshahara ni sawa...
Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;-
Wanaume tupo wengi sana hapa duniani,
Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana,
Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua,
Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua,
1)...
Shuka nayo,
🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine.
1. The Will to Walk Away From Her
Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction.
The man who is willing to walk away at any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.