mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nitajuaje mwanaume anayenitongoza anatumia akili yake au ndio unatumia akili mnemba Chat GPT?

    Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie... In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
  2. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO

    KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA LAANA UZIMA MAUTI KUPATA KUKOSA Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu badala ya kupiga Nyeto au Kununua dada poa heri ufanye haya

    Wajomba! Mahusiano yamekuwa kama ajira kwa wanawake sababu wanaingia kuvuna vitu viwili kama sio 1. Pesa 2. Furaha na yako yote Bwana eeh hapo juu hakuna chochote cha maana we kama vipi NUNUA TU NYAMA YAKO PIGA PITA HIVI hayo mengine tuyaache. ukishindwa mahusiano NUNUA kula pita hivi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  6. JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  8. JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

    Mwanaume hukuzaliwa kuwa mtumwa wa tamaa ya mwili wako Lakini usipozinduka mapema, tabia zako sio tu zitakuua bali zitakuzika ukiwa hai. Wengi wa wanaume hawaharibiwi na maadui zao....bali na tabia zao... Zifuatazo ni tabia, uraibu na fikra ambazo zinawaua wanaume kimya kimya 1. Ngono (sex)...
  9. JamiiForums Tanzania Je unazifahamu kanuni za mwanaume ambazo hazikuandikwa popote pale??

    ● Kabla ya starehe, timiza majukumu yako (Before pleasure,fulfill your responsibilities) ● Ukiona rafiki anahama,msaidie bila kuuliza (If you see a friend moving,help without being asked) ●Usikatae kushikana mikono (Don't leave a handshake hanging) ●Ulichokopa,kirudishe kikiwa bora zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Njia 6 mwanaume kuondokana na umaskiniii

    Cc D2 SIX (6) WAYS MEN CAN ESCAPE POVERTY. 1. Get the right woman. Forget the slay queens and women with looks but zero brains. Get a woman who will not only support your vision but will also push you to achieve more. A woman who will inspire you to work hard and not a woman who just makes...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

    Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini. Kama mtu hajataka kuposti picha yake kausha unaomba picha ya nini?
  12. JamiiForums Tanzania Tuambizane hapa vitu ambavyo mwanaume akivifanya vinaonekana ni vya kike kike

    Naanza mimi 👇 Kuoga mara 3 kwa siku 😥 Funguka,
  13. JamiiForums Tanzania Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

    Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  15. JamiiForums Tanzania Kama n mwanaume usifanye haya

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalamu wa saikolojia hii ni nini mwanaume anatamani kutukanwa kuwa yeye ni shoga?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili suala la mtu kutamani kuoga matusi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii huwa linatokana na nini? Kuna hawa vijana wawili wa timu moja kubwa hapa nchini,mmoja ana mwanya na mwingine alionekana kulia kwenye arusi ya rafiki yake. Huyu mwenye mwanya hawezi...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Wanawake wanaoomba msamaha waume zao huwa wanadumu ktk ndoa

    Hakuna mwanaume anabakiwa na hasira zile zile akiambiwa bby am sorry na hakuna mwanaume anaweza kumvumilia mwanamke akiwa jeuri / mjuaji
  19. JamiiForums Tanzania Nauliza ewe mwanaume wanao wanakufanana?

    Wanao wanakufanana au umeambiwa wanafanana na Babu mzaa Bibi, Mjomba shangazi nk? Kwa upande wangu wanangu wa kiume wanafanana na mimi copyright no DNA, wa kike ndo kafana na mama yake. Wanaume tuwe makini tusije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…