SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,364
- 10,247
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.
7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.
Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .
I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .