mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Mtazamo wa Kawaida Ally Hapi ni mwanasiasa wa kusimama Jukwaani na kujigamba anaweza kupambana na CHADEMA?

    Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

    Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of. Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level! Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Mwigulu asingesoma na kuwa mwanasiasa angukua tapeli

    . Huyu bwana haoni haya kudanganya. Anaropoka chochote anashusha hadhi ya waziri mkuu hizo cheap propaganda amwachie kihongosi
  4. JamiiForums Tanzania Yericko Nyenyere hajawahi na hatowahi kua Mwanasiasa, Alikua ni Chawa, along'ang'ania Nguoni kwa Mbowe , Bila Mbowe ,Hapana Yericko!!

    Wenyewe somnaona sasa aina yake ya Maisha na Maandiko yake !! Dhahiro shahiri ni Pro Chawa !!. Bila kubeba, haonekani.
  5. JamiiForums Tanzania Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana kwa kina nimehitimisha kwamba: ukiwa mwanasiasa bila kuwa wakili, basi ujue unajipotezea muda, maana utakwama tu!

    Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%. Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
  7. JamiiForums Tanzania Simoni wa Zelote, mwanasiasa wa upinzani aliyemfuata Yesu

    Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea. Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm Walikuwa na misimamo ifuatayo Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
  8. JamiiForums Tanzania Umemtambua mwanasiasa huyu maarufu nchini?

  9. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Bunge la Ulaya ahoji uwezo wa Marekani kumkamata Maduro lakini kushindwa kumuwajibisha Netanyahu wa Israel

    Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
  11. JamiiForums Tanzania Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

    Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
  12. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

    “Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
  14. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

    Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
  16. JamiiForums Tanzania Miradi kusimamishwa ili Magari yakabebe watu wa kujaza Mkutano wa Mwanasiasa

    Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata. Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  18. JamiiForums Tanzania Inakuaje mwanasiasa ambaye hatumtaki ang'ang'anie kutuongoza?

    Salaam ? Nianze kwakusema kuwa nilikuwepo kipindi cha uongozi wa mkapa, kikwete na baadaye Magufuli. Viongozi wote Hawa tumewahi wabeza, tukawasema na kuwasema lakini hatukuwahi wakataa. Ni jambo la kustaabisha kwamba mnamkataa mtu lakini anatumia mabav makubwa kubaki kuwaongoza, najiuliza...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

    Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. Watanzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…