mwanasheria

  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanasheria mbobezi

    Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
  2. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu. Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  4. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Gachagua. Kesi kuendelea kusikilizwa kesho Oktoba 17, 2024 saa tatu asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8 Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge 281 ambao walikubaliana na madai yaliyowasilishwa na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse...
  5. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Kagoma je ina utata? Mwanasheria tujuze

    Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada. Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi darasani katika mitihani walikuwa ni wazuri lakini mpe Kazi NI sifuri kabisa 0%. Theory 120% sasa njoo...
  8. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: wasichana wanaodaiwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kukwepa kupata ujauzito, wanastahili adhabu Kisheria

    Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki kushtakiwa na kufungwa kutumia adhabu ya makosa yao. Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje, Mchungaji wako au mwanasheria wako, akimuoa au akiolewa na Mtalaka wako?

  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga itafute mwanasheria mwingine, iachane na Patrick Simon, ana kasoro

    Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi? Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini hafunguliwi mashtaka mahakamani kwa kuharibu brand ya Yanga? Akina Magoma walifungua na kuendesha kesi...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo DPP anaweza kuomba kuingia katika kesi yoyote ile ya jinai, Mwanasheria Mkuu pia anaweza kuomba kuingia katika kesi ya madai yoyote ile

    Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali. Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki Ni taarifa tu
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ili ushinde kesi kirahisi, tafuta mwanasheria anayeshinda mahakamani kwenye ofisi za makarani.

    Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!. -Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria. # ILALA # KINONDONI # TEMEKE -Intelegency! -Tutaendelea kuanika zaidi hapa!
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

    Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Yanga haina Mwanasheria. Eng, Hersi akiendelea nao hawa huko mbele watamfelisha pakubwa

    Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga. Kesi Ngumu Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo...
  17. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri

    Nimeona clip, mkuu wa wilaya wa Ubungo anavyoangaika na vitu vya ovyo utafikiri wilaya yake ya Ubungo wananchi wake wanatatuliwa na matatizo lukuki zinazowakabili. Niliwahi kwenda sehemu moja inaitwa Kisopwa kupitia barabara ya Kifuru kwenda hadi Vibula aisee barabara ni mbovu sana unaweza sema...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Mwanasheria wa Arusha wameshirikiana kumdhalilisha huyu mama

    Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama. Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM ndio wanafanya hiyo kazi. Yeye anasema walishawaandikia ofisi ya Wakili Mkuu kuchukua hatua hizo...
  19. The bump

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mbobezi kwenye kesi za Madeni ya Pesa/Wizi Wa Pesa

    Nahitaji mwanasheria/wakili Mbobezi Ambae atanisaidia kuendesha mashtaka yangu mahakamani. Kesi ni Ya WIZI ila wizi ambao ndugu wanataka ugeuza uwe madai tumalize nnje ya mahakama ila hawafiki dau ninalotaka la pesa zilizoibwa. Nadhani acha iende mahakamani ili tu iwe itakavyokua. Muda wangu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jaji Mkuu wajitokeze Kujibu au kufafanua Hoja za Tundu Lissu. Hawa wengine wanajichanganya tu

    Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu. Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu...
Back
Top Bottom