mwanasheria

  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria ahoji maswali 10 kwa Msajili kusitisha ruzuku ya Chadema

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili, Edson Kilatu amehoji maswali 10 akitaka kuzingatiwa kwa Sheria ya vyama vya Siasa ya 1992. Soma pia...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanasheria Mkuu anauza sheria ambazo Bunge limetunga?

    Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo zilizohuishwa tunaambiwa zitaanza kutumika July 2025. AG Feleshi aliyepita alipohuisha R.E 2022...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga mkongwe: Yanga tulikurupuka hakukuwa na cha kupeleka CAS

    Kuna wale vidampa wa humu form four failures huwa tunawaambia hawana uelewa,akili na ufahamu wanakuwa wabishi badala ya kujikita tu na kusubiri mialiko ya soup pale Jangwani. Wapo humu watu hawajielewi na wanaofanya sisi Yanga wote tuonekane hatuna akili. Kumbe wenye akili tupo. Mabosi wa...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

    Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025. Kupitia ukurasa...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA wanasikika mitandaoni wakimdhihaki mtu. Jisaidie, jiokoe, wewe si mwanasheria? Jitetee

    Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki. Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana mpango ona sasa. Eti wanategemea kanisa liwasemee, ubalozi wa nje uwasemee. Wameanza upuuzi wa...
  8. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa LHRC asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Kailima amekiuka Katiba ya JMT

    https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi. Wakili msomi Maduhu...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

    Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Picha. Mwana-Uchumi aliyeamua kwenda VETA.

    Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
  11. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mwanasheria wa chadema

    Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
  13. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA HUYU VIPI?

    Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mwaisa: Mangi tunakubali wewe mkali ila mwachie dogo Mwanasheria utafurahi

    Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana, "Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni" Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DODOMA: Mwanasheria Mkuu wa Serikali apiga Kura Ilazo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
  18. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamenifanyia unyama, kesho naenda makao makuu na mwanasheria wangu.

    Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998 Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history. Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump amteua Matt Gaetz ambaye alikuwa ana kesi ya udhalilishaji wa kingono kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani

    Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani. Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

    Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu. Shida ni mwanamke achukue Mali...
Back
Top Bottom