mwanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  2. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla? Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani. Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
  4. JamiiForums Tanzania Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017. Enzi za uhai wake...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki maarufu auawa katika vita Sudan

    Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano. Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege

    Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  9. JamiiForums Tanzania Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

    Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni Kala Jeremiah Billnass Countrywizzy Fid Q Joh Makin Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

    Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mpiga Gitaa maarufu, Lokassa ya Mbongo afariki dunia

    Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

    Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia. Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉 👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu. Miongoni...
  13. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mwanamuziki wa Morocco ahukumiwa miaka 6 jela kwa kesi ya Ubakaji

    Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016. Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
  14. JamiiForums Tanzania Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo yatapita wa mwanamuziki Diamond unavyotukumbusha msoto tuliopitia ( mwendazake government)

    Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
  16. JamiiForums Tanzania Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini. Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Hakika huyu mwamba ali utendea kazi iliyo bora muziki hasa katika muziki wa reggae alio onesha ustadi...
  17. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamuziki D'banj akamatwa akituhumiwa kwa ulaghai wa fedha

    Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa kuwa ni balozi wa Mradi huo wa N-Power ulizinduliwa na Rais Muhammadu Buhari Mwaka 2016 lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

    Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mwanamuziki Gabu ashindwa katika kura

    Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA. Baada ya matokeo, Gabu ambaye amewahi kuwa memba wa Kundi la P-Unit ameshukuru wafuasi wake na...
  20. JamiiForums Tanzania Picha Adimu Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Mwanamuziki Eduardo Masengo na Julius Nyerere Rais wa TANU 1958

    ''Peter Colmore signed Edouard Masengo the gifted guitarist from Elizabethville, Belgian Congo to promote Coca-Cola. Masengo had come to Nairobi with a group called Je-Co-Ke meaning, Jean Comedian Katanga. Colmore who was already in broadcasting was informed that there was a young man in town...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…