Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki
Mtunzi: Robert Heriel
WhatsApp 0693322300
Sehemu ya 1
“Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza tangu jana akaniletea Daftari lake, amefanya vizuri sana. Richard! Tafadhali njoo uchukue Daftari...
Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika?
Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer mzuri kabisa.
Kwa wale wanaokumbuka ule wimbo wenye introduction "kama naikumbuka hivi inasema...
Picha hapo chini:
kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes,
wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia.
Na hawa ndio waanzilishi wa TANU
Picha: Mwila Musonda (Slapdee)
Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front.
Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo.
Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61.
Ismail atakumbukwa...
ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya
muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya kwanza nchini mwimbaji hatari kutoka mkoa wa Pwani nchini Kenya Nico Zengekala akiwa ni mwimbaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.