Vaya ni mwanamuziki mpya kwenye game, product ya Chapakazi Studios.
Ni mwanamuziki wea kike mwenye tungo kali sana zenye ujumbe mzito wa kutia moyo, kukupa nguvu na mwelekeo mpya wa maisha baada ya kuumizwa moyo.
Muziki wa Vaya ni muziki wenye kuganga moyo na kukusogeza hatua elfu mbele
Hebu...
Wakuu,
Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana kwa takriban miaka ishirini, walioana , Februari 28
Sherehe hiyo iilihudhuriwa na marafiki na...
J. Cole - The Fall-Off Album Tracklist
Expected February 6, 2026
DISC 29
1. 29 Intro
2. Two Six
3. SAFETY
4. Run a Train
5. Poor Thing
6. Legacy
7. Bunce Road Blues
8. WHO TF IZ U
9. Drum n Bass
10. The Let Out
11. Bombs in the Ville / Hit the Gas
Bonus: 12. Lonely at the Top
DISC 39
1. 39...
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi?
Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
Wakuu,
Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa.
Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile.
Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA
Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na...
Umuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009...
Kwema Wakuu?
Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote?
=====
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia.
Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa...
Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake.
Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.
Who is Adele?
Jina: Adele Laurie Blue Adkins
Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988
Idadi ya Albamu: 4
Tuzo za Grammy: 16
Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10.
Mshindi wa...
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani.
Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija".
Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongo
bongo fleva
diamond
diamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchi mbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili.
Hivyo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017.
Enzi za uhai wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.