Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full kufokewa utafikiri hakuwazaa yeye. Unajaribu kuscan umefanya kosa gani over a night unajikuta mbona hamna...