mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

    Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda. Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi. Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

    Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu. Vijizawadi vidogo vidogo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Inakuaje mwanamke unamtogoza anakukataa ila akijua una mwanamke mwingine mzuri anarudi kukuomba samahani?

    Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye. Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU...
  4. JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Habari za jioni mabibi na mabwana, kwanza nijambo lakujivunia Christmas tumeimaliza salama na naamini mwaka mpya wote tutafika salama mungu yu nasi. Niende kwenye mada bila kupoteza muda mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka kadhaa. lakini kuna tabia ambazo mke wangu anazo nashindwa kuzielewa...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
  7. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  8. JamiiForums Tanzania Unapoanzisha mahusiano na mtu hakikisha mnaendana kitabia ili kuepusha lawama mbeleni

    Habari zenu Wakuu, Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo. Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi Uchi-huyo Mtu lazima atachepuka na kwenda kutafuta wanyonya uke/uume. Mazoea hujenga tabia wahenga...
  9. JamiiForums Tanzania Sijawahi mnyonya mwanamke na sina mpango wa kumfanyia hivyo mtu!

    Niseme tu. Napenda mwanamke aninyonye.... Hilo napenda sana. Ila akitaka kunitibua aniambie na mimi nimnyonye... Hapo namuuliza swali la kwanza "JE WEWE NI BIKRA?" Obvious huyo atakuwa ni no. Then siwezi mnyonya sababu unaponyonya K wewe mwanaume unakuwa umenyonya in kind na ubooh wa mwingine...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ama hakika yule mwanamke aliniroga nimepoteza almost 5 milioni,.ningejua

    Maisha yanaenda kasi sana wakuu wala siwashauri kutongoza au kuishi na hawa mademu viruka njiwa watakuroga na utakuwa unatoa pesa bila ya wewe kujijua aisee bila.ya mungu kuongilia kati leo hii sijui ingekuwaje aisee Kuna demu nilimpata kuna kijiji cha chigugu kimoja kati ya wilaya ya masasi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

    Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no! Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha...
  13. JamiiForums Tanzania Kumtukuza Mwanamke ni udhaifu

    Habari zenu Wakuu, Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume. Mabandiko ni mengi sana eg. Mwanaume pesa, Mwanaume mashine, Mwanaume kuhonga n.k kiasi kwamba imesababisha wanawake waone wanahaki...
  14. JamiiForums Tanzania Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza. Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo ndoa na mwanamke wanavyochangamana

    21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari 25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu 29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato 33 yrs Old: Kikubwa awe anasali 35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu 40 yrs...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  17. JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    .
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

    MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
  20. JamiiForums Tanzania Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…