mwanamke

  1. Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
  2. Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  3. Unapoanzisha mahusiano na mtu hakikisha mnaendana kitabia ili kuepusha lawama mbeleni

    Habari zenu Wakuu, Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo. Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi Uchi-huyo Mtu lazima atachepuka na kwenda kutafuta wanyonya uke/uume. Mazoea hujenga tabia wahenga...
  4. Sijawahi mnyonya mwanamke na sina mpango wa kumfanyia hivyo mtu!

    Niseme tu. Napenda mwanamke aninyonye.... Hilo napenda sana. Ila akitaka kunitibua aniambie na mimi nimnyonye... Hapo namuuliza swali la kwanza "JE WEWE NI BIKRA?" Obvious huyo atakuwa ni no. Then siwezi mnyonya sababu unaponyonya K wewe mwanaume unakuwa umenyonya in kind na ubooh wa mwingine...
  5. F

    Ama hakika yule mwanamke aliniroga nimepoteza almost 5 milioni,.ningejua

    Maisha yanaenda kasi sana wakuu wala siwashauri kutongoza au kuishi na hawa mademu viruka njiwa watakuroga na utakuwa unatoa pesa bila ya wewe kujijua aisee bila.ya mungu kuongilia kati leo hii sijui ingekuwaje aisee Kuna demu nilimpata kuna kijiji cha chigugu kimoja kati ya wilaya ya masasi...
  6. S

    Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  7. W

    Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

    Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no! Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha...
  8. Kumtukuza Mwanamke ni udhaifu

    Habari zenu Wakuu, Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume. Mabandiko ni mengi sana eg. Mwanaume pesa, Mwanaume mashine, Mwanaume kuhonga n.k kiasi kwamba imesababisha wanawake waone wanahaki...
  9. Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza. Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia...
  10. Namna ambavyo ndoa na mwanamke wanavyochangamana

    21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari 25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu 29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato 33 yrs Old: Kikubwa awe anasali 35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu 40 yrs...
  11. Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  12. Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    .
  13. Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  14. Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

    MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
  15. Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
  16. Wewe Mwanamke, Wewe Mama na Wewe Mke wa mtu, jiheshimu

    Namshukuru sana mungu nimezaliwa kweny kipindi ambacho wanawake walikuwa wanajitambua na wanajiheshimu sana. Namshukuru sana mungu kwasababu nimezaliwa na mwanamke anayejiheshimu, anayejitambua na anayejua thamani ya utu wake. Video hapo chini inaonesha mtoto akienda kumuondoa mama ake...
  17. Taifa Stars chini ya TFF yaunga mkono Kampeni ya 'Piga Mpira Usipige Mwanamke'

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE. Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA (thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
  18. Kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda

    Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda. Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena. Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
  19. M

    Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

    Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama Hana vigezo unavyo taka. Hata ivyo katika miaka ya ivi karibuni wanaume wamepunguza kutongoza kwa...
  20. Hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia akikuuliza kazi unayofanya?

    Wakuu habarini👋 Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya. Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani? Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…