mwanamke

  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Usipuuzie past ya mwanamke

    Usimuonee huruma mwanamke. Kama umemkuta hana bikira wewe piga piga piga piga piga piga halafu sepa, urembo wake ukuongoze kwenda nae kitandani sio altareni. Trust me comreds, you can take her out of the street but you can't take street out of her. She is from street, by street, for the...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea mwanamke kujifungua kwa operation

    Habari wanaJF Wapo wanawake ambao hujifungua kwa njia ya kawaida ila kuna wengine hujifungua kwa operation nini kinapelekea wanawake kujifungua kwa operation? Kwa wajuzi mnaweza mkatiririka
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  4. 101 East

    JamiiForums Tanzania Yajue matiti ya Mwanamke na hulka zao

    Zujuie chuchu za Mwanamke ! ✍️Dr. William - Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu. - Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga pengine ila sio kwenye maziwa yake. Maziwa ya mwanamke ndio husaidia mwanamke kukimbia zaidu, kama...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Mungu sio mwanamke ni mwanaume

    Nadhani mungu ni mwanaume, Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke, Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, Na aliyeumbwa ni Adamu, Na Adamu ni mwanaume, Hivyo...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

    Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Mwanamke kwa wapenzi wa zamani (Kulinganisha)

    Hii picha imenifikirisha sana jinsi bidada anavyowakumbuka wanaume zake wa zamani. NI NGUMU SANA KUMRIDHISHA MWANAMKE WA AINA HII.
  10. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Hapo mwanzo mwanaume alichagua mwanamke wa kuishi nae,hivi sasa mwanamke ndio huchagua mwanaume wa kuishi nae.. Unadhani nini kimebadilika?.....

    Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora. Sasa hv mwanamke hata umtoe...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

    Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu...
  13. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

    Wakuu, Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti, Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema. Chamsingi anza kulipa deni lake ndo...
  14. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa

    Nimejaribu kuwaza watu wanaochepuka na wake au waume za watu wanajitambua kweli? Hivi wanajua chemistry iliyojengeka kati ya mtu na mwenza wake? Hata kama wenyewe kwa wenyewe watagombana waache lakini usimvue nguo mke au mme wa mtu. Labda mwenyewe ajifunge kwa maneno yake na kujihakikishia kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usitegemee kipato cha mwanamke

    Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato; (I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia wewe,nauli na Kila kitu iii) Usiruhusu mwanamke alipie Kodi ya nyumba Wala ada,pambana wewe mwanamume...
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mwanamke huyu?

    Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane watafute pamoja Mali hutafutwa lakini tatizo sio ujobless yeye hampendi tu. 2. lakini anapopapenda...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

    Shalom, Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya. Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya. Ni hayo tu Shukrani Wadiz
  19. Ndondocha mkuu

    JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

    Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba. Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga. Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko...
Back
Top Bottom