mwanamke

  1. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume. Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
  6. JamiiForums Tanzania Usiwekeze kwa mwanamke

    Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote. Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

    Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi...
  8. JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke nimeamini

    Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke, Spika wa bunge mwanamke, RPC wa mkoa husika lilikotokea tukio mwanamke Lakini kinachoshangaza zaidi ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

    Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau. 3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia anapenda kuangalia Ponographia anamanisha nini?

    Vipi wakuu Kuna huyo sister ni jirani yetu Sasa katika kupiga story amegusia hilo swala kuwa yeye anapenda sana kuangalia pornography. Hapa najiuliza kwasababu Gani aniambie Mimi Kuna mawazo positive yananijia kuwa anataka rungu nini
  11. JamiiForums Tanzania Sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke

    Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo. Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha...
  12. JamiiForums Tanzania Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
  13. JamiiForums Tanzania Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  16. JamiiForums Tanzania Kwani kua na mwanamke asiye omba pesa kuna madhara

    Nimekua na mahusiano miaka mitatu na nilie nae hajawai niomba hata mia na hataki lakini yeye za kwake anataka kuwa ananipa .eti wana jf hapo mnanambiaje
  17. JamiiForums Tanzania Usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini lakini anaishi maisha ya kifahari

    Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi. Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya. MLIOAMUA KUOA CHUKUENI DARASA HILO KUTOKA KWA MJANJA M1. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
  18. JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yanufaisha Kimasomo Wanafunzi 69 Waliohitimu.

    MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YANUFAISHA KIMASOMO WANAFUNZI 96 WALIOHITIMU Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir katika kuadhimisha Siku ya Vijana alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza ya Wanafunzi wa Chuo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

    Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…