mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya Kaa Kimya na usishindane na Mwanamke, kwani Bibie sasa anataka kupiga Bomu lako la mwisho ambalo litakumaliza na kukuumiza mno tu

    Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
  2. JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanamke niliyempenda katika maisha yangu. Huwezi amini sijawahi hata kukutana naye kwa abahati mbaya. Sylvia huna baya

    Huyu ni mwanamke wa kipekee sana. Sylvia hana baya. kichwani yuko vizuri. Naamini ningekuwa na wadhifa ningempata. bahati haipo upande wangu. Huyu dada nimemzimia sana. Rangi yake, upstair dah! inauma sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

    Wakuu Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii? Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

    Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu.. **Tunajivunia utaifa wetu
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuchat nae awe mid 20-25yrs

    Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

    Vijana tumieni akili Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30 achana na oldest women
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

    Wapenzi Wanaume, Hakuna aibu kusema, "Babe, siwezi kumudu hicho kitu." Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali. ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kimasai

    Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
  15. JamiiForums Tanzania Tumeshaachana wivu na vituko vyanini? Ila ke wembamba wana visa sana.

    Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia. Haya ni matukio machache...
  17. JamiiForums Tanzania Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio. Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
  18. JamiiForums Tanzania Sijui huyu mwanamke wa kiganda amenipangia nini?? Nisaidieni

    Habari wanazengo; Hapo nyuma nilishawahi leta Uzi na kuuelezea namna nilivyopata Binti wa kiganda amabaye anamahaba mazito Tanzania hamna. Mimi kama single father nikamwambia aende kwao aseme na wazazi wake kua amepata mchumba wakumuoa ili nipewe taratibu.... Lakini kilichotokea kumbe...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  20. JamiiForums Tanzania Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

    Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili. Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki. Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…