mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati wa Kukiss kama mwanamke unataka mkono wa mwenzako uguse wapi?

  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

    Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kunichezea na kuniharibia uvulana wangu.

    Nahitaji mwanamke wa kunichezea ,kuniharibia maisha na uvulana wangu.
  5. JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeathirika

    Yupo Hapa kijana ana Age 30 Muathirika Anahitaji Mwanamke wa kuwa naye kimahusiano hadi ndoa Uwe serious na mwenye kujimudu kiuchumi Njoo Pm niwakutanishe Yupo Arusha
  7. JamiiForums Tanzania Moja ya madhara ya kijana kuyajua mapenzi ukubwani ni Kuhonga na kumnyenyekea Mwanamke

    Nipo Salama! Salama! Sijui ninyi huko. Sio rahisi kijana ambaye ameanza mapenzi wakati wa balehe yake akikikua akaanza kuumizwa umizwa na mapenzi. Au ukamkuta anahonga au kupelekeshwa na wanawake. Asilimia tisini na tisa ya wanaume unaowaona wanahonga au kupelekeshwa na wanawake kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  9. JamiiForums Tanzania Msongo Wa Mawazo: Athari za msongo wa mawazo kwa mwanamke

    Msongo Wa Mawazo Ni Nini? Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Kwa kawaida mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  10. JamiiForums Tanzania UK wachagua mkuu wa ujasusi Mwanamke

    Shirika la kijasusi la Uingereza, maarufu MI6 litaongozwa na mwanamke kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mia moja 16 ya uhai wake. Blaise Metreweli, aliyejiunga shirika hilo mwaka 1999, atakuwa mkuu wa 18 akichukua nafasi ya Sir Richard Moore baadaye mwaka huu. Kwa sasa anahusika na...
  11. JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  12. P

    JamiiForums Tanzania A woman above 30 yrs is seriously needed:

    Succeeded,with all thanks Be blessed
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke huwa anajuta sana baada kuachana na mwanaume mwema sana kwake

    Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  15. JamiiForums Tanzania Nikifanya hiki kitendo kwa mwanamke, nini kitatokea?

    Mimi nina mazoea ambayo sijui kama ni mazuri au mabaya. Nikipiga bao lazima nikojoe pia mkojo wa kawaida kusafisha njia. Sasa kuna mademu wengi wanataka nikimaliza niiashe mashine humo humo ndani iki shtuka shtuka wakati inaendelea kutema nyongo. Wanajisikia raha. Kitendo kinachofuata kwangu...
  16. JamiiForums Tanzania Nitaoa mwanamke mshamba

    Wazee wa kazi Hamjambo? Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

    Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

    Heri kwenu nyote. Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima. Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…