mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi: "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Kuna mwanamke wa kuoa na mwanamke wa starehe, Usijichanganye utalia

    Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona na tunakushauri wewe kijana lakini umekomaa tu hutaki kusikia,. sikiliza .usioe wanyesifa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
  4. JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

    Ijumaa Kareem! Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake. Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke; 1. Uhuru wa mawasiliano. Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano. a) Mwanamke wako lazima umfanye...
  6. JamiiForums Tanzania Tuongee kifamilia/kitamaduni:-Kwa mwanamke je ni sahihi kufua nguo za baba mkwe wake?

    Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine. Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za jamii/kabila fln. Mfano kuna baadhi ya makabila huoa binamu zao wengine huzaa na dada zao nk. Kule...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

    Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe ni lazima awe amependa na ameamua ila MWANAMKE ili aolewe 99% wanaangalia nini atapata kwenye ndoa...
  8. JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC. Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo: 1...
  9. JamiiForums Tanzania Wasiokubali Uteuzi wa Rais Samia, 2025,Je ni Wanapinga Mchakato au Wanateswa na Mfumo Dume Wana Shaka na Uwezo Mwanamke? Angekuwa Mwanaume Wangepinga?

    Wanabodi Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au...
  10. JamiiForums Tanzania Heshima ya mwanamke wa sasa ipo wapi?

    Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana. Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume walikuwa wakisalimia wanawake wanawavulia kofia na kuinamisha kichwa kidogo na kuwaita majina ya heshima...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

    1.mwembamba 2.mnene 3.macho makubwa 4.macho madogo 6.nyashi kubwa 7. V-shaped face 8. Oval face shape 9. Miguu wa bia 10. Curved shape 11. Mfupi 12. Mrefu 1. Mcharuko 2. Mbea 3. Mpole 4. Mwenye makelele 5. Gubu 6. Mchamungu 7. Wa mituuuungi 1. Tom boy 2. Mweupe 3. Cheusi 4. Maji ya kunde...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuweka Mkao huu, Jua umekwisha🤣🤣

    Utajuaje Mwanamke kakuweka Kiganjani? Kwenye mapenzi Viganja si vya Mikono bali ni hivi👇🤣🤣 Ukishawekwa Mkao huu jua umekwisha😂😂
  14. JamiiForums Tanzania Ni nadra sana kukuta mwanamke wa Kimbulu amesukia rasta nywele zake

    Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani. Na katika experience yangu niliowaona wasichana wa kimbulu hupendelea kunyoa ule mtindo unoitwa panki nadhani.. Mungu wabariki warembo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa inapangwa na mwanamke sio mwanaume

    NDOA INAPANGWA NA MWANAMKE SIO MWANAUME Kauli hii inaweza kukushangaza kidogo ila ngoja nikufafanulie, Mwanamke ndiye anaepanga ndoa na sio mwanaume, hii inamaana gani!!! Maana yake ni kwamba wewe mwanamke kwa tabia yako njema, uvumilivu wako, huruma yako, heshima yako, utiifu wako kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  18. JamiiForums Tanzania MWANAUME UKIMWAMBIA MWANAMKE UTAMUOA USHAMCHUMBIA..UKIMKATAA.LAANA UTAIKUTA KWENYE NDOA YAKO IJAYOO

    MWANAUME,UKIMWAMBIA MWANAMKE, UNATAKA KUMUOA — HAPO UMEMCHUMBIA TAYARI. - Mwanaume, ukiwambia mwanamke “Nataka kukuoa” — hayo si maneno ya kawaida, umemchumbia rohoni na mbingu inaandika. Ujumbe huu unabeba uzito wa kijamii na wa kiroho kuhusu jukumu la maneno ya mwanaume katika uhusiano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume - Mwanamke vipi 50 Kwa 50 Kwenye ndoa au penzi lako imesaidia au kilio?

    50 Kwa 50.
  20. JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

    ''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…