ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 22,011
- 52,654
Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli.
Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini anasahau anajibu kwamba kichwani mambo mengi wakati hatafuti hela kila kitu unatafuta mwanaume..
Yaani naposema msahaulifu namaanisha uwezo mdogo wa akili.mfano labda ili nieleweke kirahisi utoaji chenji dukani mtu mwenye akili anajua kabisa bidhaa ya 1700 mtu akitoa 5000 basi chenji ni 3300 ila mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiria lazima apige hesabu kwenye calculator..
Shida ni kwamba kipindi cha mwanzo wa mahusiano mahaba huwa mengi mixer mabusu na madenda so unakuwa udhaifu ule huujui..hata kama asijue mengi ila asiwe anasahau MAMBO ya msingi.