Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na shemeji yake.Alikuwa mrembo sana kwa sura na umbo.Alikuwa kamaliza la saba,toto la kinyamwezi,rangi...
Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo.
Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza kuwa katika ndoa, uchumba au hata maisha ya kawaida ya pamoja. Inahusisha mambo yafuatayo:
1...
Ukitaka kujua mwili wa mwanamke una mambo yasiyo ya kawaida mwambie mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake achume mboga kama vile tembele, majani ya maboga au achume pilipili iliyoko shamanic. Vyote na vingine sijavitaja hapa VITAKAUKA.
Hatuelewi kuna uhusiano gani kisayansi na hali aliyonayo...
Sawa Wanaume Hatuliziki Hata Tupewe Nini Ila Nakupeni Siri Moja Hakuna Mwanaume Anaweza Kuchit Akimiliki Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza.
Mkoa Gan Tanzania 🇹🇿 Kuona Viumbe Vyenye Milima Kama Hii👇👇👇 Kawaida Japo Sura Ni Za Baba Zao.
Tunaishi Na Vimbau...
Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo.
Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae.
Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
Wakuu habari!
Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia
Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi
Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.
Mpinzani wake wa chama kikuu cha...
Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku.
Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara.
Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba
Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba
Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa
Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa
M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau
Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu.
Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...
nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
🔍 UTANGULIZI
Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH.
Lilith ni...
Habari ndugu zangu wapendwa!
Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu!
Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme!
Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri.
Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme?
Ni kweli...
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya...
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
1. Hii ni video nzima.
2. Video ya awali ilikatwa na wahuni.
3. Si mtoto, ni mtu mzima.
4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇