mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

    Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto, Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ? Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Chanzo: Azam Tv
  4. JamiiForums Tanzania Mchumba mwanamke - MKE

    Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
  5. JamiiForums Tanzania Niamini Mimi, adui wa mwanamke ni mwanamke, huyu Mama mwakilishi wa Mudi ndo aliyeitafuta hiyo kampuni iliyomzalilisha mwenzake, na inasemekana yey al

    Niamini Mimi adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, Huyo mwanamke mwakilishi wa muhamedi TAPTA LA madawa ya kulevya, lilirowai dakwa na Mzee Magu, yeye ndo alikuwa akipambana na mwanamke mwenzake mwanzo mwisho, Hata wale mabaunsa yeye ndo aliyewatafta, na aliwanunulia na Bangi, na...
  6. JamiiForums Tanzania Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

    Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni. Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
  8. JamiiForums Tanzania Nyakati Hizi Mbili Mwanaume Unatakiwa Umjali Sana Mwanamke

    Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

    Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima. Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna kila dalili naziona kuwa mageuzi ya hili Taifa yataanzia kwa mwanamke

    Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different. Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi. Habari njema ni kuwa wao...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  12. JamiiForums Tanzania Ukikutana na Mwanamke ana Uke Automatic. Hutomwacha

    Toka namfahamu huyu bi dada... Sijawahi kutumia mafuta wala mate. Kweli nakuambia akhi na mtumwee.... Yaani akija home au nikienda kwake au popote tukionana uchi wake unakuwa tayari umeshaloana. Nikisema nimwandae anaona nachelewa anaamua kuchukua mpini mwenyewe anachomeka kwenye kinu...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa na uhitaji atatumia mwili wake kukuambia anahitaji nini

    Kwa ukimya aliojaliwa mwanamke humfanya atamke machache katika mengi kwahiyo anahitaji mwanaume mwenye kujiongeza ili kuelewa mwanamke wake anahitaji nini kupitia hekaheka zake anazozifanya iwe kwenye maongezi, vaa yake, anavyokutazama au deko Kila kiungo cha mwili wa mwanamke kinaweza kinaweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke Mkristo

    Habari, Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi, am very focused 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiriwa 5. Ninaishi Kilimanjaro Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto 2. Umri lazima uwe na 18 hadi 26 3. Msafi wa mwili na roho 4. Uwe na elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Unapokumbatiana na mwanamke, mwanaume hakikisha unazingatia hili

    Wakuu bila kuzingatia haka kautaratibu ladha ya kumbato inapotea kabisa, bila shaka huwa unakazingatia vyema:):)
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kusisimka kwa mwili wa mwanamke?

    Shikamooni wakuu! Nilikua natafakari hapa,kwa nin mwanamke akinyonywa matiti na mwanaume au hata akiguswa tu lazima mwili wake usisimke. Je kuna uhusiano gani kati ya hivyo vitu?
  18. JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  19. JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja 3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni. Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

    Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu Sifa zangu ELIMU: Degree. Kazi: Network administrator Umri: 33 Location: Dar Rangi: Black...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…