mwanamke

  1. Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  2. Tofauti kati ya Mwanamke na Uanauke

    Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala hauyatambui hata ajifosi vipi utamgomea japo ataigiza kuwa yupo sawa ila uanauke utamlilia tu kuwa...
  3. C

    Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

    Mwanamke elewa kuwa asili ya mwanaume ni udume ambao anahitaji atawale dunia kwa kila kitu. Wanyama na ndege pia viumbe vya kiume hutawala species zao. Kwa hiyo basi fanya ufanyalo mwanaume lazima achepuke, hata umlambe makunyanga yake lazima achepuke, hii siyo tabia ni nature ya viumbe vya...
  4. Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

    Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
  5. K

    Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

    Nimekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nimepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu. Tumefika Korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo...
  6. Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos. Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha lakini nashindwa, nina miaka kama minne sasa naangalia karibia kila siku. Naombeni ushauri nifanyaje...
  7. Mkabizi uchumi wa nyumbani mwanamke, hutojutia.

    kabla sijaoa, nilisema sitaoa mwanamke aliyeajiriwa; na kweli nilifanikisha kwa kupata kifaa kweli kwa muonekano, pia kichwani yuko vizuri. Na wakati nilipokutana naye mara ya kwanza, nilimpiga interview kama mtu anayeomba kazi, ila lengo langu ni kupata mtu atakayetimiza majukumu yangu...
  8. Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Habari Ni kijana 25-27 years Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho. Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi) mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae. Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa. Kuna taarifa mbaya...
  9. O

    Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  10. Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

    Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu. Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza. Hata kama hukubahatika kumuona kwa macho hakika jina lake ungelisikia tu likivuma maana huyu ndiye...
  11. Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

    Saikolojia ya Mwanamke Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata ya yeye mwenyewe kujifahamu. Ukiweza kufaulu kwenye majaribu hayo, she feels like wow na anaanza...
  12. S

    Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

    Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa...
  13. Sio kila mwanamke anayekuambia hakutaki anamaanisha

    Kwema wandugu Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu: 1. "kuwa wewe sio type yangu huwezi kuwa na mwanamke kama mimi". 2. "sikupendi wala sikuhitaji tafuta mwanamke wa type yako" Haya maneno yaliniumiza saana...
  14. M

    Kibamia ni neno linalotumika kuwatisha wanaume ili kuwamaliza nguvu wajione hawawezi kuridhisha mwanamke

    Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli. Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata...
  15. Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu

    Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji wakawa wanakunywa!!Kama mnavyojua mambo ya kunywa lazima kuwe na story mbili tatu plus makelele ya...
  16. Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  17. Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
  18. Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

    Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu...
  19. Wanawake tu: Mwanaume huumia kwasababu Mwanamke wake kaingiliwa kimaumbile, kipi kinamuumiza Mwanamke BF/Mwanaume wake akichepuka

    Nimeuvaa uhalisia nikiwa kama mwanaume, siwezi kuwaongelea wanawake na ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunaji mwanbafai tunapokadiria mwanamke anachotaka, anachofikiria, anachopenda, hisia zake, n.k. huwezi kuuvaa uhalisia wa mwanamke wakati wewe ni mwanaume. Kwangu mimi nikikijua kwamba...
  20. Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

    Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali. Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3. Baada ya kutambua kua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…