The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Kwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
1. "kuwa wewe sio type yangu huwezi kuwa na mwanamke kama mimi".
2. "sikupendi wala sikuhitaji tafuta mwanamke wa type yako"
Haya maneno yaliniumiza saana ila sikua na namna basi bana bana nikaendelea kumsumbua bado akanikataa na ni mzuri haswa.
Kila nikimuomba tuonane anasema yuko busy akaona kama namsumbua sana akaniblock WhatsApp, hadi calls mapenzi acheni jamani nilivoona hvo nikapata nguvu ya ajabu nikasema sitokaa nimtafute nafanya mambo yangu.. kweli nikaanza kuwa busy na mambo yangu miezi ikapita almost 3 kimyaa
Daaah ndugu zangu huwezi amini jumamosi iliyopita nikaona namba mpya ya simu inaita kupokea sauti ni yake kwanza nikashtuka mhhh imekuaje au naotaa? Baasi bana akaanza pale oooh meku miss ooh uko wapi siku hizii ooh blah blah nikamumbia neno moja tuu I'm not your type " nikakata simu weeee alipiga simu sikupokea msamaha kama wote nikamkaziaa.
Baadaye nikajirudi jana akaniambia anataka aonane na mm kesho jioni akitoka kazini ana suprise yangu heee haya ni maajabu kwangu.
Kwenye maisha kuna mambo mengine unayaacha yapite wakitambua umuhimu wako watakuja na sisi kaja na speed kama zoote.
Hapa ni mwendo wa kumnyandua nyandua tuu na mimba juu.