Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
jamaa siku ya kwanza kuripoti kazini kwenye kituo kipya anapewa kazi ya kupeleka wafungwa sita Gereza jipya , ni askari mzuri lakini wafungwa hao ni wakatili balaa
kizazasasa kinatokea baada ya safari kuanza na kupata ajali njiani ??? je ungekua wewe askari ungefanyaje? movie ndo hiyo kazi kwako
Movie kali sana tizama 👇🏾👇🏾.
View: https://youtu.be/tZh71zBmhhE
kizazasasa kinatokea baada ya safari kuanza na kupata ajali njiani ??? je ungekua wewe askari ungefanyaje? movie ndo hiyo kazi kwako
Movie kali sana tizama 👇🏾👇🏾.
View: https://youtu.be/tZh71zBmhhE