mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi darasa la pili apotea siku sita, mwili wake wakutwa pagalani

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika. Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ameunda emojis 350 kubadili picha ya umasikini wa Kiafrika

    O'Plerou Denis Grebet (22), msanii wa Ivory Coast, anaifanya Afrika kujivunia kwa kuweka picha chanya juu ya bara la Afrika ameunda emojis 350 ambazo zinaonyesha uzuri wa utamaduni wa Kiafrika katika aina zote. Alivutiwa kuunda emojis kuhusu Afrika kwa sababu picha alizoziona kuhusu bara hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

    Moshi. Wingu limegubika mahali alipo askari wa kikosi cha Usalama Barabarani maarufu kama trafiki, anayetuhumiwa kumjaza mimba mtoto mwenye umri wa miaka 14 wa askari mwenzake. Januari 9, Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Salum Hamduni aliliambia gazeti hili kuwa polisi huyo anashikiliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya mzazi kumchukulia cheti cha sekondari mtoto wake aliye nje ya nchi

    Jamani naomba kupata maelekezo kuna uwezekano kwa mzazi kumchukulia mtoto wako cheti chake cha form four au six kama yeye mwenyewe hayupo nchini na nina documents zote zinazoonyesha hayupo. Cheti original kinahitajika chuoni alipo. Je, kuna uwezekano wa mzazi kukichukuwa? Na je, utaratibu...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi yamshikilia Mchungaji EAGT tuhuma za kubaka, kumpa mimba Mwanafunzi

    Polisi wilayani Kisarawe mkoani Pwani, inamshikilia Mchungaji wa kanisa la EAGT la Mtamba, Shauri Steven kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi akimlaghai kupitia huduma ya maombi Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Mtamba wilayani Kisarawe mkoani Pwani, Shauri Steven...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala auawa kwa kupigwa risasi na mlinzi

    Polisi wa huko Jinja wanachunguza tukio la walinzi wa usalama kumpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kampala, tawi la Jinja. Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Isaac Katagwa aliyekuwa akisoma Shahada Usimamizi wa Hoteli, utalii na burudani alipigwa risasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka na kumpa mimba mwanafunzi mwenzake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Songwe, imempandisha kizimbani Chrispin Kibona (18) mwanafunzi wa kidato cha pili Idigima Sekondari, kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake miaka wa 17. Akisomewa mashtaka hayo Mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka wa Serikali Gibson Tawale...
  8. JamiiForums Tanzania OCD Wilaya ya BUSEGA amekula Rushwa na kukataa kupeleka kesi ya mwanafunzi wa kidato cha pili Mkula Sekondari Mahakamani Mheshimiwa Sirro muwajibishe

    OCD wa wilaya ya Busega kwa muda sasa ameikalia kesi ya ubakaji ya mwanafunzi wa Mkula Sekondari iliyoko BUSEGA MKOANI SIMIYU inadaiwa kwamba Mwanafunzi huyo ameachishwa shule mpaka ss lakini cha kushangaza kesi ya mwanafunzi haijafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa hii inatokana na kwamba...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo aishitaki Equity Bank kwa ajili ya wimbo

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Eric Nyadida anayedaiwa kuwa mtunzi wa wimbo maarufu wa matangazo wa Equity Bank uliotumika katika mradi uitwayo Wings to Fly ameishitaki benki hiyo kwa kukiuka makubaliano na kuitaka benki hiyo imlipe kiasi cha Milioni kumi za Kenya. Pia, kijana huyo ameiomba Mahakama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

    Wadau wa elimu naomba msaada. Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia? Mwanangu kaja na kunisimulia.
  11. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

    Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba. (Picha...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini. Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela na mwanafunzi

    Habarini. Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi. Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi, 35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia. Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM ajinyonga Manzese!

    By Elisha Magolanga A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told The Citizen yesterday that Joseph Lugemalila, 21, killed himself at...
  16. S

    JamiiForums Tanzania UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    UDSM student hangs himself By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…