YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,910
- 51,903
Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini.
Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana simu ni marufuku mwanafunzi kuwa nazo akikutwa nayo anafukuzwa shule.
Ukaguzi wa kushtukiza kwa wanafunzi ni kitu muhimu sana nakumbuka nilishawahi Fanya zoezi la kushtukiza shule Moja kwenye mabegi ya wanafunzi wa day kwenye mabegi yao tulikuta vitu vya ajabu kuanzia kondomu,simu,bangi ,sigara,viberiti,viroba vya pombe ,nguo za kubadilisha za nyumbani kwa watoto wa kike kama.vimini ,visuruali nk .
Shule zote Wawe wakifanya ukaguzi wa ghafla mfano kuwa search,kuwavamia mabwenini na kumwita mmoja mmoja aingie ndani afungue sanduku lake ufanywe upekuzi na kuwasimamisha uwanjani na kuwataka waweke mabegi yote chini watoke wakae mbali na kuanzia kumwita mmoja mmoja na begi lake afungue afanyiwe upekuzi.