mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata matokeo ya mwanafunzi anayesema amesahau namba yake?

    Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mwanafunzi aliyepata Mkopo kupitia dirisha la kuappeal na hv sasa amesign na kupata Boom?

    Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa. So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom. Maana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwingine(Ilboru) afa maji akiogelea St. Gaspar Hotel dodoma

    Wimbi la wanafunzi kufa maji wakiogelea mkoan dodoma linazidi kushika kasi ambapo Jana jioni mwanafunzi mmoja wa ilboru kidato cha 5 aitwae Francis amefariki akiwa anaogelea katika hotel maarufu ya St Gasper iliyopo dodoma baada ya kunywa maji mengi na kusababisha kifo chake. Mwanafunzi huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu course ambayo mwanafunzi anayechukua PCB anaweza kusoma chuoni

    Naona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa watu wengi?
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani alifuatilia mauaji ya Giulio Regeni? Mwanafunzi wa Italia aliyetekwa nyara Misri kisha kuuawa kwa tuhuma za ujasusi

    EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni. Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza tena uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya mwaka mmoja na nusu, wakimrudisha Balozi wa Italia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo na kubadilisha kozi

    Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
  7. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
  8. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua kasoro za majina ya walimu walioitwa kwenye ajira 13,000 za Magufuli

    Serikali yaanika sababu kasoro majina kwenye ajira za walimu SERIKALI imeeleza sababu zilizochangia kuwapo kwa kasoro mbalimbali kwenye majina ya ajira za walimu 13,000 zilizowekwa kwenye tovuti hivi karibu. Hali hiyo ilizua mjadala na maswali mengi katika mitandao ya kijamii, huku ikibainisha...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti mbaroni kwa kumpa mimba mwanafunzi wa miaka 15

    MWENYEKITI wa Kijiji cha Ijinga katika Wilaya ya Magu, Badri Juma Masengo (40) anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Ijinga mwenye umri wa miaka 15 jina linahifadhiwa. Kutokana na kadhia hiyo jeshi la polisi Wilaya ya Magu,linamshikilia mwenyekiti huyo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Law school of Tanzania kwa mwanafunzi anayetokea nje ya nchi

    Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo. Natanguliza shukrani.
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni chuo kipi au nchi gani mwanafunzi anaweza akaruhusiwa kuandika PhD kwa kiswahili, je inaruhusiwa?

    Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada. UPDATES: --------------------- Maana yangu ni kwamba kuna watu wana PhD kingereza hawajui sasa nauliza Thesis waliandika kwa kiswahili?
  13. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 ajinyonga baada ya kukatazwa na Mama yake asirudi nyumbani usiku

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kupata AVN kwa mwanafunzi aliyemaliza diploma ili ajiunge na degree

    Inasikitisha sana wakuu
  15. JamiiForums Tanzania CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekana wengi hatukusoma vizuri na kuelewa masharti ya mkataba kati ya mwanafunzi na Bodi ya Mikopo(HESLB)

    Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao. Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
  17. JamiiForums Tanzania Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  18. JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
  19. JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

    Habari wanaJamiiForums, Mwalimu George Ngallu wa Mahiwa Sekondari aliyekuwa na kesi mahakamani ya kufanya ngono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano 2019/20 katika mchepuo wa History, Geography na Kiswahili (HGK) amakutwa na hatia na amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kuanzia tarehe...
  20. JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyetaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi afunguliwa shtaka la uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…