Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akifanya kitendo hicho cha unyanyasaji kwa mwanafunzi huyo mara kwa mara katika maeneo mbalimbali shuleni hapo, ikiwemo ofisini na hata kumfuata chooni.

"Mwanafunzi huyo ni mkazi wa Kihonda baada ya kumhoji alikubali kufanyiwa vitendo hivyo na mwalimu wake na aliweza kusimulia namna ambavyo alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya kikatili, wakati mwingine alikuwa anafanyiwa chooni na hata ofisini", ameeleza Kamanda Mutafungwa.

Aidha Kamanda Mutafungwa, amewashauri wazazi kuhakikisha wanafuatilia mienendo ya watoto wao , ikiwemo kuwakagua ili kujihakikisha kama hakuna vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa.

©Muungwana
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke.
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke
Young teens kiherehere mtoto mwenye miaka kumi, that is not a reasonable excuse.
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke
There is NO EXCUSE kabisa kwa kitendo kama hiki. Acha kabisa kujustify mkuu. Hivi wewe katoto ka miaka 10 hata kakijilengesha vipi utakapanda? Hako si katoto sasa ukikasikiliza ukakapanda eti kwa kuwa kalijilengesha nani atakuwa mtoto kati yenu? Yaani miaka 27 ushikiwe akili na mtoto wa miaka 10?

Aisee hapa hakuna cha watoto wa siku hizi wala nini, huyu mbwa kama kweli amekuwa anakabaka haka katoto aisee wampe adhabu kali sana. narudia tena hakuna utetezi wowote hapa na kwa yoyote anaetaka kumtetea huyu jamaa nae anaakili pungufu ya mnyama
 
katoto kamepandwa zaid ya Mara moja hakajafa hakajaumwa kamezoea mchezo ukute n 10yrs lakin umbile lake n kubwa ukute hata we ungeambiwa ana miaka 10 usingeamini
 
Tusimhukumu mwalimu Kuna uwezekano katoto kamelishwa maneno ili kumkomoa teacher. Mbona sioni report za kidakitari. Mtoto wa miaka kumi Kama kaingiliwa daktari anaweza kujua.
Mkuu si bora tu ungenyamaza tu kuliko kukoment. Ila watoto wengi hawana security dhidi ya unyanyasaji wa namna hii. Hii haikubaliki kabisa
 
Ikibainika anyongwe tu kwa kweli maana keshamuharibu mtoto mazima hata kizazi chake keshakizogeza
 
Ikibainika anyongwe tu kwa kweli maana keshamuharibu mtoto mazima hata kizazi chake keshakizogeza
Sijui watu kama hao wangelikuwa wanahasiwa sijui lingepatikana kundi tena la kuwatetea!

Me naona kunyonga haitoshi, kuhasi ni zaidi ya kunyonga, maana ni sawa na kutobolewa macho ukubwani ili aanze kuona kwa kusimuliwa.
 
Back
Top Bottom