Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu.
Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano...
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!
Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.
Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake...
Naanza na hii
●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners
Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
Kweli Hananja. msanii wa dini, Mwamposa Msanii wa Dini leo ndio wa officiate sala ya ufunguzi?
Nchi hii ina vituko.
---------
Mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa, alivyoshusha maombi katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Kawe - Dar es Salaam
Chanzo: Global TV
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko
Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi
Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo.
Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa.
Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini?
Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo
Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular.
Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane.
Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza...
Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
Kwa kweli
Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile
Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada
Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe
Hivi...
Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani.
CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja.
Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu
Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla wake huwa ni hofu tuu na kutotulia kwa akili...
Hawa watu wanakutia hofu zaidi halafu kimbinu...
Wakuu
====
Ni kweli? baada ya Rais Samia kushiriki kwenye uzinduzi wa mahema ya kanisa la Mwamposa Askofu Gwajima alitoa hii kauli inayosema "Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake"
Naomba kufahamu ukweli wa jambo hili.
Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini.
Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.