TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KAULI ZA UCHOCHEZI ZILIZOTOLEWA KWENYE UZINDUZI WA KANISA LA "ARISE AND SHINE" SIKU YA TAREHE IJUMAA TAREHE 5 JULAI 2025.
Chadema tunalaani vikali kauli za kichochezi na za hatari zilizotolewa wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Arise and Shine jijini Dar es Salaam tukio...
Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania.
Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE...
Siku ya leo, Rais Samia kazindua rasmi hema (jengo?) la kanisa la Rise and shine (Kanisa la Mwamposa) kwenye viwanja vilivyokuwepo kiwanda cha Tanganyika Packers. Imeelezwa jengo (hema) hilo lina gharama ya zaidi ya bilioni 15.
Huenda ndio gharama za juu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania kwa...
Naona kama viongozi wanajisogeza sana kwenye makanisa ya kitume baada ya haya tunayoyajua siku zote kuwa na msimamo Fulani ambao hauipendezi sana watawala.
Nilikua naulizia tu hivi haya makanisa Yana mchango gani kwa maendeleo ya nchi? Siyo makanisa tu hata misikiti mnijibu wadau.
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz.
Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini.
Gwajima ameteleza...
Wakuu!
Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote.
https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
Kati fundi Aucho pembeni Pacoume Ngwena Zuzwaa kuna huyu Waziri Wa Kazi Maalumu (Max nzegeli) Kila mechi Lazima awaweke hakika Wese boy wameingia kwenye MFUMO.
Dadekiiii, achana na Mudathri kuna Chama baba Anataka kuwaonesha namna gani Ganda la muwa haliishi utamu
Oya weweee Kazi kubwa Leo...
Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea watu wapate kazi bali watarejesha viwanda vilivyokufa na kutengeneza vipya ili watu wengi zaidi wapate...
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu...
Huku ndipo serikali ilipofikia. Magufuli pamoja na ukali wake wote, pamoja na mvutano mkubwa baina ya wateule wake na Gwajima, hakuwahi kuthubutu kumfungia Kanisa.Unajua kwanini?
Mahala ambapo neno la Mungu linahubiriwa, mahala ambapo watu wanapata huduma ya kiroho ni mahala ambapo hata kama si...
Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea.
Chanzo: mwananchi_official
Gwajima kama...
Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa .
Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi?
Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine.
Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.