Mbona angevuruga mambo?Usikute washagombana
Katibu muhitasi sijui mutasi ama muhutasi.Nani katoka karibu, toa mfano..
Madhabahu ya Mwamposa imetumika kumhukumu Tundu Lissu adhabu ya kifo kwa kuchinjwa.Je, tuseme dini ni moja ya biashara nzuri. Pichani ni Mpaka mafuta wa Bwana Mwamposa kabla hajajipata.
View attachment 3396642
Hapana nataka kujiombea mwenyewewe hutaki miujiza
Ishu ni kwamba hakuna anaeumizwa na uongo wake!!wote wanaponywa ndio maana wanaenda!!Jamaa lilikuwa fundi baiskeli huko mbalizi mbeya,baadae likawa liuza vitabu na sasa ni tajiri tapeli nabii la uongo
Anawararua sana watu 😄 hukosa ivi anakunja tax-free 100m kwa siku, wajinga hawaishi