Heri ya pasaka.
Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.
Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025.
Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea.
Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata
Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo linaloleta mtafaruko mkubwa sana ndani ya fikra za watu
Nina uhakika hili fukuto litakwenda kummaliza...
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa.
Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: -
. Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda.
Siasa ya ujamaa tuliyoletewa baada ya uhuru, haikuwa mbaya, ila haikuwekewa kanuni na Sheria bora za kuiongoza. Kana kwamba...
Watu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili,
Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe,
Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini,
Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa,
Anaejulikana kwa jina la...
Bado nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii
Ni kazi gani hii ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe? Unawezaje kuchuja maudhui yote yanayochapishwa mitandaoni?
Ni binadamu wa aina gani ambao hawajawahi kuonekana duniani...
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka.
Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali.
Accounts...
Nilimsikia mtumishi Mwamposa akisema kuwa kutakuwa na siku ya kuombea viongozi wa serikali.
Nikamshangaa ni kwa nini waombewe viongozi wakati wale wote waliotekwa na hiyo mamlaka hawajulikani walipo na hali zao miaka na miaka.
Huu ni unafiki wa kiwango cha lami na kujipendekeza kwa mamlaka bila...
Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.
So...
Mwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela
We zubaa hapo, shauriako...
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi...
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya...
Hello!
Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo.
Kila kundi lina makundi mengine madogo madogo lakini nitaeleza kwa ufupi tu.
1. Watumishi wa kweli
Hawa ni watu wa Mungu ndani ya kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.